Monday, September 2, 2013

DEMICHELIS AJIUNGA NA MANCHESTER CITY

Man city hatimaye wamekamilisha usajili wa beki wa kati demichelis akitokea katika club ya malaga kwa ada ya uhamisho wa pauni million 4.

Akizungumza na vyombo vya habari  baada ya kusaini katika club hiyo amesema kwamba anafurahi kujiunga na club hiyo kwa kuwa bado ananjaa ya mafaniio katika maisha yake ya soka.

No comments:

Post a Comment