Monday, September 2, 2013

HENRY JOSEPH SHINDIKA KUANZA KAZI LEO

Kiungo wa kimataifa wa tanzania ambaye ametokea norway katika soka la kulipwa lakini kabla alitokea katika clubu ya simba ya tanzania hatimaye amerudi nyumbani kwake na kuanza kazi leo.

Kwa taarifa kutoka clubuni hapo kiungo huyo mzaliwa wa mwanza leo ataanza kazi rasmi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya mafunzo ya zanzibar utakaochezwa uwanja wa taifa saa 11:00 jioni.

Vilevile simba itawatambulisha  wachezaji wake kwa mara ya kwanza wataonekana kwenye dimba kutoka burundi hamis tambwe na  gilbert kaze katika mchezo huwo baada ya kuwa na matatizo ya kukosekana kibali cha kufanyia kazi.

No comments:

Post a Comment