Monday, September 2, 2013

KAKA ARUDI AC MILAN RASMI

Kiungo mshambuliaji raia wa brazil ricardo kaka hatimaye amerudi katika clubu yake ya zamani na yakwanza kuichezea ndani ya bara la ulaya ac milan akitokea real madrid kwa mkataba wa miaka 2.

No comments:

Post a Comment