Sunday, September 8, 2013

FELLAINI AAMINI KUPATA MATAJI MAN UNITED

Kiungo mshuliaji wa manchester united na timu ya ubelgiji maroune fellaini amesema kwamba ana matumaini makubwa mupata mataji mengi ndani ya timu yake pya likiwemo la ligi kuu lililoana vihi karibuni.

Haya aliyasema baada ya kumalizika mechi yao dhidi ya scotland ambapo walifanikiwa kushinda 2-0, baada ya kuulizwa mustakbali wake ndani ya timu yake mpya ya manchester united.

Alisema kwamba anafuraha sana kuwa ni miongoni mwa wachezaji wa timu hiyo na kuongeza kwamba atashirikiana vizuri na wachezaji wenzake iliwaweze kushinda mataji zaidi.

Aliongeza kusema kwamba ilikuwa ni furaha tupu pale nilipo maliza usajili wangu wa kuhamia the red devils na kwani ilikuwa ndoto yangu kubwa maishani mwangu, na kwa sasa ni mataji tu.

No comments:

Post a Comment