Kocha wa real madrid muitaliano Ancelotti amesema kwa mba uwezekano wa kuwachezesha wachezaji ghali zaidi duniani kutikana na usajili wao kuja hapo cristian ronaldo na gareth bale kwamba wana weza kucheza pamoja.
Hayo aliyasema alipoulizwa na eufa.com kwenye mahojiano kwamba kuwaweka wachezaji hao ni bora zaidi lakini ronaldo hawezi kuwa anacheza kama mshambuliaji .Hii nikutokana na mfumo wake alioupanga ilikuweza kuwajumuisha pamoja wachezaji hao ambao itakuwa bora zaidi kama wote wakianza kwenye kikosi cha kwanza.
Vilevile ameongeza kwamba muda mwingine bale anaweza kucheza kama mshambuliaji kutokana na uwezo wake wa kupambana na kufunga," lakini kutokana na uchezaji wao ni vizuri zaidi kama wote wakicheza huku wakitokea pembeni na muda mwingine wakitokea katikati." aliongeza

No comments:
Post a Comment