Kocha wa timu ya soka ya lipuli ya iring anayo jiandaa na kinyang'anyiri cha michuano ya ligi daraja la kwanza tanzani bara jana aliionyesha kazi timu ya villa squad baada ya timu yake kutoka na ushindi wa mabao 4-0.
Kocha huyo ambaye aliwahi kuwa nahodha wa timu ya taifa taifa stars na yanga miaka mitatu iliopita sasa ni kocha wa timu ya lipuli na anajiandaa katika michuano ya ligi daraja la kwanza ambapo jana walicheza mchezo wa kujipima ubavu na kuwashindilia villa squad bao hizo.
Kila la kheri shadrach nsajigwa katika kazi yako mpya katika tasnia ya soka.
Kocha wa timu ya lipuli ya iringa shadrack nsajigwa akifanya mahojiano na vyombo vya habari kuhusiana na timu yake.

No comments:
Post a Comment