Dereva bingwa wa mbio za formula one kutoka hispania Fernando Alonso anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili ndani ya ferrari.
Dereva huyo mahiri kwa sasa na ni bora ameshawahi kupata ubingwa wa formula one mara nyingi na anatarajiwa kuingia mkataba na kampuni hiyo ya mio za magari
No comments:
Post a Comment