Kocha wa timu ya taifa ya Ireland kaskazini geovani trapattini hatimaye amejiuzulu kuifundisha timu hiyo baada ya kukata tamaa ya kupata nafasi ya kucheza kombe la dunia.
Habari hutoka nchini humo zinasema kwamba kocha huyo kutoka italy amejiuzulu kuifundisha timu hiyo baada ya matokeomabaya dhidi ya timu hiyo katika kinyang'anyiro cha kugombania nafasi ya kucheza kombe la dunia, ambapo timu hiyo imekata tamaa kukata tiketi ya kucheza faiali hizo zitakazo fanyika brazil mwakani.

No comments:
Post a Comment