Wednesday, September 11, 2013

MWALUSAKO AENDELEA KUKAIMU YANGA SC

Kaimu katibu mkuu wa yanga sc lawrence hatimaye anaendelea kukaimu nafasi hiyo mpaka pale atakapo pata tamko kutoka kwa viongozi wa kuu wa timu hiyo kama anaendelea.

Hii imekuja baada ya kiongozi huyo kumalizika mkataba wake ndani ya timu hiyo na uongozi wa yanga kutaka kumuajiri mkenya patrick nagi na baadaye wazee watimu hiy kumkataa mkenya huyo.

No comments:

Post a Comment