Friday, September 6, 2013

FERNANDO LlORENTE AWASHUKURU WASHABIKI KWA KUENDELEA KUMPA SUPPORT

Mshambuliaji wa timu ya juventus ya jiji turi nchini italy amewashukuru washabiki wa timu hiyo kwa kuendelea kumwamini na kumpa support ndani ya timu hiyo ilihali hadi sasa bado haja funga goli.

Hayo aliasema jana kwamba anawashukuru sana washabki wa timu hiyo kwa kuwa na imaninae na ipo siku ataanza kuwarudishia fadhira washabiki hao na kuendelea kuomba kumpa support kipindi chote atakacho ishi ndani ya timu hiyo.

No comments:

Post a Comment