Friday, September 6, 2013

NAVAS: NITAFURAHI SANA KAMA NIKIWA NA CASSILAS NDANI YA MAN CITY

Winga machachari wa timu ya manchester city na timu y taifa ya hispania Jesus Navas amesema kwamba atafurahi sana akiona goli kipa wa timu ya taifa hiyo Iker cassilas akidakia timu ya man city na kuachana na real madrid.

Hii imekuja baada ya kipa huyo kupoteza matumaini ya kuichezea timu hiyo ya jijini madrid hasa baada ya kufika golikipa lopez tangu kipindi cha mourinho na kukosa kuaminika nakuendelea kukaa bench.

No comments:

Post a Comment