Friday, September 6, 2013

FLAMINI AFURAHI KURUDI ARSENAL

Kiungo wa arsenal aliyerudi msimu huu akitokea ac milan ya italia matheu flamini ameelezea furaha yake ya kurudi tena clabuni hapo.

Hayo aliyasma baada ya kuanza mchezo wa kwnza tena akiwa na timu hiyo katika mchezo wao dhidi ya mahasimu wao tottenham hotspurs na kutoka na ushindi wa 1-0.

Mchezaji huyo awali alikuwepo katika timu hiyo kabla ya kutimkia ac milan na sasa amerudi tena ilikuendeleza makali yake aliyokuwa nayo awali. Flamini alisema kwamba ninafuraha sana hasa pale nilipo ambiwa nyanyuka ili uchukue nafasi uwanjani katika mchezo wao huo ambapo alitoka jack wilshare na kuingia yeye hadi mwisho wa mchezo huwo.

No comments:

Post a Comment