Mshambuliaji hatari wa mabingwa wa soka nchini ufaransa zlatan ibrahimovic amesema kwamba hajawahi kufikiria kuischa club hiyo katika kipindi cha usajiri cha majira ya joto.
Ibrahimovic amesema hayo katika pree confference ilyo fanyika hivi karibuni baada ya kufungwa dirisha la usajili la majira ya joto na kusisitiza kwamba anafuraha ndani ya timu hiyo kwani inamjali na yeye anataka kuosyesha kwanii wanamjali.
Mchezaji huyo kutoka sweden anamkataba na clubu hiyo hadi mwaka 2015.

No comments:
Post a Comment