Kiungo mshambuliaji wa chelsea anaye tokea taifa la brazil willian amesema kwamba timu nyingi zilikuwa zikimuhitai lakini tangu zamani alikuwa na ndoto ya kuichezea timu ya chelsea.
Hayo alisema jana baada ya kuulizwa anajisikiaje kuwa katika timu hiyo na kusema kwamba chelsea ni timu bora duniani na kila mtu anahitaji kuwa hapa na anafurahi sana kuwa katika timu hii na akaahidi kufanya makubwa katika timu hiyo.

No comments:
Post a Comment