Monday, September 2, 2013

BALE KUTAMBULISHWA LEO MCHANA NDANI YA BERNABEU

Gareth bale hatimaye akamilisha usajili wake wa kuhamia real madrid na atalipwa paund 250000 kwa wiki na baadaye mchana kutambulishwa rasmi ndani ya uwanja wa santiago bernabeau kama mchezaji wa timu hiyo.

Sali la kujiuliza nadhani bale anajulikana vizuri je itakuwaje akikutana cr7? na uwepo wa ozil katika kikosi cha madri utakuwepo?

No comments:

Post a Comment