Thursday, September 19, 2013

GARETH BALE KUSAINI MKATABA ADIDAS

Kiungo mshambuliaji wa real madri gareth bale anatarajiwa kuingia mkataba na kampuni ya vifa vya michezo ya adidas.

Hii imekuja baada ya mchezaji huyo kupanda thamani yake baada ya kutua real madrid licha ya kuvunja rekodi ya usajili  na kumpiku ronaldo.

Nyota huyo raia wa wales ni miongoni mwa wanasoka wenye mkataba na kampuni hiyo kwa kuvaa viatu vyao tangu akiwa na miaka 16, na sasa kampuni hiyo inahitaji saini yake baada ya thamani yake kupanda.

Bale amevunja rekodi ya usajili baada ya kumpita cristiano ronaldo ambaye alikwa anashikiria rekodi hiyo akitokea man united kwa pauni 80million na kumpita wa kusajiliwa kwa kiasi cha pauni 100 millioni.

No comments:

Post a Comment