Kocha msaidizi wa timu ya yanga sc fred felix minziro amewataka washabiki wa yanga kutokata tamaa na matokeo yanayopatikana na timu hiyo katika michezo yake miwili ya ligi kuu ya tanzania bara.
Kocha huyo pia ni mchezaji wa zamani wa timu hiyo na timu ya taifa ya tanzania taifa stars amesema kwamba ni mapema mno kutabiri ligi hiyo kwani ndio kwanza raundi ya nne na ligi bado mbichi.
Hii imekuja baada ya timu hiyo kutofanya vizuri katika michezo miwilii iliyochezwa mjini mbeya kwa kutika sare ya 1-1 katika mechi zote mbili dhidi ya mbeya city na tanzania prisons za mjini hapo.
Pia amedai kuwa kutokana na uwanja wa sokoine kuwa mbaya ndiyo maana hawakufanya vizuri na kusisitiza kuwa uwanja huwo lazima ufanyiwe marekebisho makubwa na kulinganisha na uwanja wa kambarage wa shinyanga ni mzuri kuliko huo na ukifikiria uwanja wa kambarage haujachezewa michezo ya ligi ku kwa muda mrefu sasa.
Kocha huyo alimalizia kwa kuwaomba washabiki wa ya nga kuendelea kuonyesha ushirikiano na timu yao kwani bado wana nafasi kubwa ya kufanya vizurim katika ligi hiyo na haa ligi ya mabingwa Afrika hapo baadae.

No comments:
Post a Comment