Monday, September 2, 2013

MWINYI KAZIMOKTO ATUPIA MBILI QATAR

Mwinyi kazimoto  a.k.a balldancer jana katika mchezo wao dhidi ya mahasimu wao alifanikiwa kutupia mbili na kumshangaza kocha wake.

Habari kutoka qatar zinasema mwinyi kazimoto alifunga mabao mawili katika mchezohuo ambao uliishia kwa wao kushinda.kama kawaida yake mwinyi kazimoto katika mabao hayo alipiga moja kwa staili ambayo watanzania wengi wanaijua kwa kuachishuti kati nje ya 18. Tumuombeeni heri katika maishayake ya soka il aweze kuipeperusha bendera ya  nchiyetu pamoja na wachezaji wengine kama kapombe na wengineo.

No comments:

Post a Comment