Beki wa kushoto wa timu ya taifa ya hispania na timu ya barcelona jodi alba hatimaye imebainika kwamba atakaa nje kwa wiki tatu.
Hiyo imebainika baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari baada ya mchezo wao wa ligi kuu ya hispania (la liga) dhidi ya sevilla ambapo timu hiyo ilishinda kwa mabao 3-2, kwani aliwahi kucheza dakika 15 tu za kwanza na kumpisha Adriano.

No comments:
Post a Comment