Monday, September 16, 2013

YANGA YAKATA RUFAA MATOKEO DHIDI YA MBEYA CITY

Timu ya soka ya yanga imekatarufaa kutokana na matokeo waliyo yapata mkoani mbeya dhidi ya wenyeji mbeya city katika mchezo wa ligi kuu ya tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa sokoine jijini hapo.

Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1, yanga wanalalamiia uhujumiwa kwa wachezaji wao na washabiki wa mbeya city.

Kwa mujibu wa uongozi wa timu hiyo wa yanga unasema kwamba wamekata rufaa hiyo ili kuiomba TFF kurudiwa tene kwa mchezo huo na wameomba ufanyike nje ya jiji la mbeya.

No comments:

Post a Comment