Monday, September 9, 2013

KIGGI MAKASI AENDA INDIA KWA MATIBABU

Baada ya maneno ya hapa na pale kuhusiana na mchwzaji wa simba kiggi makasi kutoenda kutibiwa kutokana tatizo la boti linalo msibu mchezaji huyo hatimaye safari yake yakwenda kutibiwa imekamilika.

Akizungumza na waandishi wa habari msemaji mkuu wa timu hiyo Ezekiel kamwaga amesema kwamba mchezaji huyo ameondoka leo jioni peke yake lakini baada ya siku mbili simba itampeleka kiongozi wake katika kusimamia matibabu yake huko nchini india.

Kiggi makasi yuo nje kwa muda mrefu sasa na alishawahi kutangaza kwamba amekwenda kwa mganga wa kienyeji kutibu tatizo lake baada ya simba kushindwa kumtibu.

No comments:

Post a Comment