Nyota wa real madrid cristiano ronaldo hatimaye amesema kuhusiana na usajili wa mesuit ozil kwenda arsenal kutoka real madrid.Kwa mujibu wa ronaldo anakwambia kwake inamuuma sana na hakutarajia uhamisho huwo kwani anakwambia ozil ndiye aliyesababisha afunge magori mengi katika clubu hiyo na diye aliyekuwa mchezaji anayemjulia wakati akitaka kufunga kwa hilo inamuuma sana na hamuoi mchezaji mwingine ambaye anaeweza kuwa kama ozil.
Na sio ronaldotu ambaye amesononeshwa na uhamisho huwo bali kuna wachezaji wengi sana kama ramos,albeloa,khedira ambao kila mmoj amesema mtazamo wake kuhusu uhamisho huwo na kusema kwamba hawakutarajia kabisa swala hilo kwa sasa na hata kuna baadhi ya mchezaji amesema kwamba angekuwa anauwezo angeanza kuondoka yeye kwanza na baadaye angeondoka ozil.

No comments:
Post a Comment