Tuesday, September 10, 2013

MANCHESTER UNITED YAMTAKA MKOREA

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya korea ya kusini heung min son kupitia wakala wake onasemekana kwamba alitakiwa na machester united ili kuongeza nguvu

Wakala huyo ameongeza kuwa mchezaji huyo amekataa kujiunga na timu hiyo ilikupata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza kwenye timu ili kuimarisha kiwango chake, na kwa sasa amejiunga na timu ya beryan liverkusen akitokea humberg ya ujerumani ambapo alishaifungia magoli 30 katika mechi 73 alizoichezea timu hiyo.

No comments:

Post a Comment