Timu ya manchester united na mabingwa wa ligi kuu ya uingereza imetenga dau la pauni millioni 4 ili kumsajili beki wa kati wa shilfed united haryy maquire.
Taarifa kutoka clabuni hapo zinasema kwamba beki huyo wana interest nae na mapema katika kipindi cha usajili kijacho atajiunga na mashetani hao wekundu kutoka old trafford ili kuimarisha safu yake ya ulinzi kwa kuwa wachezaji wake wakongwe akina vidic na ferdinand umri kupotea.

No comments:
Post a Comment