Wednesday, September 11, 2013

WYNE ROONEY KURUDI MANCHESTER DERBY

Mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya england na clubu ya man united anatarajiwa kurudi tena uwanjani katika mechi kati ya manchester united  na manchester city.

Docta wa timu hiyo amesema kwamba rooney yu tayari na tayari ameshaanza mazoezi mepesi baada ya kupona kidonda chake.

Kwa hiyo ni muda wa mashabiki wa timu hiyo kumuombea arudi katika hali ya yake ya zamani kabla ya mechi yao dhidi ya watani wajadi man city.

Mchezaji huyo muhimu hadi sasa amezikosa mechi tatu moja manchester united na mbili za timu ya taifa ya england ikiwemo ile ya jana ambayo wametoka sare na ukraine na kabla ya hapo walishinda 4-1 na danny welberck kupiga mbili.
Picha ya jeraha la wyne rooney siku alipopata majeraha hayo, lakini hivi sasa inadaiwa kwamba kishaunga kidonda hicho na yutayari kuwakabili majirani zao wa manchester city..

No comments:

Post a Comment