Thursday, September 5, 2013

MOURINHO AMUACHA ESSIEN UEFA CHAMPIONS LEAGUE, FLETCHER NAE AACHWA

Katika kujiandaa na kuwasilisha majina ya wachezaji watakaocheza uefa champions league katika timu mbalimbali, hatimaye kocha wa chelsea jose mourinho amemuondoa michael essien katika kikosi hicho kitakacho anza kutimua mbio zake za kufukuzia kombe hilo baadae mwezi huu.
Vilevile kwa manchester united wamemuacha katika kikosi hicho kiungo wake mahiri darren fletcher amvaye yupo mapumzikoni baada ya majeraha ya muda mrefu.

No comments:

Post a Comment