Klabu ya soka ya simba katika muendelezo wa mechi za kujipima ubavu ili kujiweka vizuri katika muendelezo wa ligi kuu ya bara iliyo simama kupisha michuayo ya timu za taifa itakapo kutana na kmkm ya zanzibar.
Kwa mujinu wa msemaji mkuu wa timu hiyo ya ezekiel kamwaga kwamba kesho simba itacheza na timu hiyo kutoka viziwa vya zanzibar na mchezo utachezwa kwenye uwanja wa taifa kuanzia majira ya saa11:00 jioni.
Vilivile habari njema kutoka ndani ya timu hiyo ni kwamba yule mshambuliaji wao hatari aliyetokea marekani Mombeki hatimaye amerudi rasmi na amegewa ruhsa kuichezea timu hiyo baada vipingamizi kuhusu mchezaji huyo kukamilika.

No comments:
Post a Comment