Wednesday, September 4, 2013

OZIL AKIWA NA UZI WA ARSENAL

Mesuit Ozil kushoto akiwa ameishika jezi ya arsenal baada ya kusajiliwa rasmi na kushoto ni mjerumani mwenzake ambaye team-mate mwenzake katika timu ya taifa na arsenal ambaye ni Lucas Podolski.Arsenal sasa ina wajerumani watatu mwingine ni Per Mertesecher

No comments:

Post a Comment