Wazee wa timu ya soka ya yanga hatimaye wamemtimua ktendaji mkuu wa timu hiyo abaye ni wakuajiriwa aliyechaguliwa na timu hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya timu hiyo wazee hao wamemtimua katibu huyo mwenye uraia wa kenya Patrick Nagi ambaye alikuwa katika uwongozi wa bodi ya ligi ya kenya na moja kwa moja viongozi wa yanga kumuajili katika kuendeleza soka katika timuyao .
Wazee hao wamekataa uwamuzi huo wa yanga kumuajili mtu kutoka nje ya nchi hii baada ya timu hiyo kutoendelea kumuajiri katibu aliyemaliza mkataba wake ndugu mwalusako.

No comments:
Post a Comment