Sunday, September 8, 2013

PATO AFURAHI KUIACHA AC MILAN

Mshambuliaji wa tiumu ya taifa ya brazil na timu ya soka ya corinthians amesma kwamba anafuraha kubwa kuiacha klabu kubwa ya italy ac milan na kurejea nyumbani kwao brazil katika timu ya corithians.

Mshambuliaji huyo aliyasema hayo baada ya kumalizika mechi yao ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya australia na kuibuka na ushindi wa 6-0 na yeye kufunga miongoni mwa hayo magoli.

Pato amerudi brazil ili kuimarisha kiwango chake ili aweze kupata nafasi katika kikosi cha timu ya taifa ya brazil ambacho kinatarajiwa kuwa wenyeji wa michuano ya kombe la dunia mwakani.

Hadi hivi sasa pato amecheza mechi k16 na kushinda mabao 7 katika ligi kuu ya brazil anayo endelea hivi sasa na kupata nafasi ya kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa na jana kushinda.

Mchezaji huyo aliongeza kuwa kila mchezaji atakuwa na furaha  katika klabu husika ikiwa akipata nafasi ya kucheza na sio tofauti ili

No comments:

Post a Comment