Kutokana na yanga kukata rufaa TFF kudai mchezo wao dhidi ya mbeya city urudiwe kutokana na hujuma walizofanyiwa wachezaji hao kwa kuvunjwa vioo gari la wachezaji wa timu hiyo kabla ya mechi.
Mchezo huo uliisha sare ya bao 1-1, yanga baada ya kukata rufaa yao katika kamati ya ligi ndani ya TFF lakini eo kamati hiyo wameitupia swala hilo katika lamati ya nidhamu chini ya ndugu Alfred Tibaigana na kusema wao hawausiki na swala hilo.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya ligi ndugu Wales Kiria amesema kwamba swala hilo wamelipeleka chini ya kamati ya nidhamu na kusisitiza kwamba mechi hiyo haiwezi kurudiwa.

No comments:
Post a Comment