Beki wa kimataifa wa Denmark na clubu ya Liverpool Daniel Agger awaondoa hofu mashabiki wa Liverpool na kusema kwamba hawezi kuondoka kwa sasa na atabaki clabuni hapo.
Nyota huyo mwenye miaka 28 ameyasema hayo jana baada ya kuulizwa kuhusiana na mustakabali wake ndani ya timu hiyo hasa baada ya kutakiwa na timu kubwa barani alaya ikiwemo Barcelona pia kuasili beki wa kati Sakho.
Agger alisema kwamba kwa sasa hatarajii kuondoka hadi mwisho wa mkataba wake kwani anafuraha kubaki katika timu hiyo kwa kuwa Liverpool ni timu kubwa miongoni mwa timu kubwa duniani.

No comments:
Post a Comment