Kutokan na kuanza vibaya katika msimu huu wa ligi na kujiweka katika hali ya sitofahamu kwa mashabiki wa timu ya manchester united, kocha wa timu hiyo anena na kusema kwamba yeye ni mtu muafaka wa kuifundisha timu hiyo.
Hayo yamekuja baada ya mashabiki wa timu hiyo duniani kote kuanza kupoteza imani na kocha huyo kutka scotland na kufikia kusema na kumuomba kocha aliyejiuzulu Sir Alex Ferguson arudi kuifundisha timu hiyo.
Lakini kutokana na maneno hayo Ferguson amesema kwamba hatarajii kurudi tena kufundisha soka na kwa sasa ni uda wake kupumzika na presha za soka na kusisitiza kwamba Moyes ni mzuri na anafaa kuifundisha timu hiyo na kuwataka ashabiki wa timu hiyo kuwa wavumilivu katika kipindi hichi cha mpito.
Kwa kukumbuka ni kwamba moyes alipendekezwa na Sir Ferguson kuja kuifundisha timu hiyo baada ya yeye kutangaza kupumzika
Timu hiyo hadi sasa ina point saba tu katika michezo sta waliochezwa huku wakipoteza michezo mitatu ukiwemo ule wa mahasimu wao wa jiji la manchester man city na kushikiria nafasi ya 12 katika msimamo wa ligi hiyo, na ukizingatia kwamba ni kipindi kirefu timu hiyo kushika nafasi hiyo ndani ya mechi sita za ligi.

No comments:
Post a Comment