Thursday, October 10, 2013

FABIO AFIKIRIA KUONDOKA MANCHESTER UNITED

Beki wa pembeni wa manchester united kutoka Brazil Fabio Da Silva anafikiria kuondoka clabuni hapo baada ya kushindwa kupata namba ya kucheza katika kikosi cha mscotland David Moyes.

Pacha huyo wa Rafael ambaye naye anakipiga timi hiyo msimu iliopita likuwa kwa mkopo katika timu ya Queens Park Rangers na timu hiyo kushuka daraja chini ya kocha Harry Redknarp .

Beki huyo anataka kuondoka baada ya kuona nafasi yake finyu ya kucheza katika kikosi hicho tofauti na pacha wake rafael ambaye anayo nafai ya kikosi cha kwanza tangu alivyokuwa  Sir Alex  Ferguson mpaka sasa japokuwa anasumbuliwa na majeraha.na yupo katika kikosi  cha kwanza cha timu hiyo.

No comments:

Post a Comment