Monday, October 21, 2013

KANNAVARO,ABDI KASSIM, NA AGGREY MORRIS WAACHWA TIMU YA ZENJI

Kocha wa tiumu ya taifa ya Zanzibar amekitangaza kikosi cha timu hiyo kinachojiandaa na michuano ya challenge itakayofanyika nchini Kenya.

Katika kikosi hicho kocha huyo amewaacha wachezaji wa utumainiwa akiwemo kaptain wa timu hiyo Nadir Haroub "Kannavaro", Aggrey Morris na kiungo wakutumainiwa na mkongwe katika timu hiyo Abdi Kassim  "Babby" .

Vilevile kocha huyo amewarudisha kundini wachezaji wa simba kiungo Abduharim Humud na beki pia nahodha wa simba Saidi Chollo.

No comments:

Post a Comment