Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Manchester United jana walidhihirisha nia yao ya kurudi katika mbio za kutaka kulinyakua kombe hilo baada ya kuichapa Fulham kwao kwa mabao 3-1.
Ilichukuwa dakika ya 9 tu pale nyota kutoka nchi ya Ecuador winga Antonio Valencia alipoiandikia timu hiyo bao la kwanza baada ya kuunganisha pasi murua kutoka kwa Wyne Rooney.
Dakika ya 20 baadaye Roin Van Persie aliiandikia bao la pili kwa shuti kali kutoka upande wa kushoto baada ya pasi nzuri ya Adnan Januzaj .
Baadaye alikuwa nyota mzawa Wyne Rooney alye malizia kalamu hiyo ya baada ya kuipackikia goli la tatu akipokea pasi safi kutoka kwa RVP katika dakika ya 22.
Akizungumzia mchezo huo kocha wa timu hiyo David Moyes alisema kwamba ni wakati sasa kwa timu yake kufanya vizuri zaidi ingawa wapo katika kipindi cha mpito na amezidi kuwasifia washambuliaji Rooney na Van Persie baada ya kuonyesha muungano mzuri katika safu ya ushambuliaji ndani ya timu hiyo.

No comments:
Post a Comment