Manchester united wamebainisha kwamba kupitia kwa kocha David Moyes anatarajiwa kukaa nje ndani ya wiki sita.
Kiungo huyo pia ameondolewa katika kikosi cha timu ya taifa ya uingereza baada ya maumivu aliyo yapata wakati wa mazoezi jana.
MichaelCarrick ambaye ni kuingo tegemezi wa kukaba katika timu yakwanza katika kikosi hicho anatarajiwa kurudi uwanjani mnamo mwezi December au katika siku za christmas na boxing day na nafasi yake huwenda wakachukuwa Tom Cleverly, Fellaini, na Anderson na vilevile Darren Fletcher licha ya kwamba mpiganaji huyo bado hajakuwa fiti kati ka mashindano kwa kuwa alikuwa katika majeruhi kwa muda mrefu sasa.
Akizungumza jana kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodson anasema amesikitika sana na hali hiyo kwani ni miongoni mwa wachezaji ambao wapo katika plani yake katikakujiandaa na michuano ya kombe la dunia baada ya kufuzu.
No comments:
Post a Comment