NAHODHA
wa Manchester United, Nemanja Vidic ameruhusiwa kutoka hospitali
alikokuwa amelazwa kwa matibabu baada ya kuumia katika mechi ya jana ya
Ligi Kuu England dhidi ya Arsenal.
Vidic
aliondoka uwanjani muda mfupi kabla ya mapumziko baada ya kugongana na
mchezaji mwenzake, kipa David de Gea timu yake ikishinda 10.
Mserbia
huyo alikuwa katika hali mbaya na moja kwa moja akakimbizwa hospitali
kwa vipimo na matibabu zaidi kabla ya kuruhusiwa baadaye.
No comments:
Post a Comment