Tuesday, December 18, 2012
WENGER AWEKA KITITA KWA SUNZU
Kocha wa Arsenal Arsene wenger ameweka kitita kwa beki mahiri Stopilla sunzu wa timu ya taifa ya zambia na Tp mazembe ili kuimalisha safu yake ya ulinzi ambaye imeonyesha udhaifu kipindi cha karibuni
Monday, December 10, 2012
CECAFA WAWACHINJIA BAHARINI WABONGO
shirikisho la soka kwa nchi za afrika mashariki na kati limewachinjia mbali wabongo mrisho ngassa na john bocco baada kunyimwa kiatu cha dhahabu katika mashindano yalioisha jumapipli ya chalenji na kugewa robert ssentongo ilihali wote wana mabao matano kila mmoja
MANCHESTER UTD YAFANYA KUFURU MWAKA HUU
Manchester united jana iliivurumisha man city baada ya kushinda 3-2 ktk uwanja wa etihad stedium. magoli ya the red devils yalifungwa na rooney aliefunga mawili na moja la ushindi likifungwa na van persie, wakati yaya toure na zabaleta kwa upande wa man city
Wednesday, December 5, 2012
GRANT KUBEBA MZIGO WA BENITEZ?
Kwa mujibu wa tetesi zilizopo zinasema kwamba grant huenda akachukua mikoba ya rafa benitez kama akifanya vibaya je yuone kweli?
RAFA BENITEZ KIBARUANI TENA LEO
kocha Rafa benitez leo tena huenda akawa katika wakati mgumu wakati timu yake iktupa karata yake ya mwisho katika usiku wa ulaya leo.hadi sasa kocha huyo alieshika mikoba ya Di matteo hajashinda hata mchezo mmoja katika michezo mitatu nakusuluhu miwili na kupoteza mmoja,kwa mujibu wa mmiliki wa timu hiyo Roman abramovic ,kama benitez akishindwa kuisogeza mbele kwenye michuano hio ni rahisi sana kuondolewa katika kikosi hicho.
VALENCIA KURUDI UWANJANI WIKI HII
Winga mahiri wa manchester united wiki hii kurudi uwanjani baada ya kukaa nje kwa wiki tatu. valencia anarudi huku timu yake ikiwa na kibarua kigumu dhidi ya majirani zao man city ndani ya etihad stadium.
THE RED DEVILS KUKAMILISHA RATIBA LEO
Manchester united leo kukamilisha ratiba dhidi ya clug ya bulgalia .kwa mujibu wa sir Alex Farguson leo ataanzisha nyota wake chipukizi ikiongozwa na nahodha wake vidic. leo huenda kikosi kikawa kama ifuotavyo: kipa, De Gea mabeki, smalling,vidic,watton,buttner viungo, powell,anderson,fletcher,giggs washambuliaji, chicharito,welbeck
KIKOMBE AMBACHO HUENDA JUMA KASEJA ATAKINYANYUA
mwenyekiti wa cecafa nicolaus musonye akikabidhiwa kikombe ambacho kitakuwa zawadi baada ya fainali kwisha.
NUSU FAINALI CECAFA CHALENJI CUP KUENDELEA KESHO
Nusu fainali ya michuano ya cecafa chalenji cup kuendelea kesho alhamis katika uwanja wa namboole mjini kampala uganda.kwa mujibu wa ratiba mchezo wa kwanza utawakutanisha zanzibar wakionehsana umwamba dhidi ya kenya na baadae usiku wenyeji dhidi ya tanzania bara.
VIDIC FIRST ELEVEN LEO NDANI YA TRAFFORD
Tuesday, December 4, 2012
VIDIC ARUDI DHIDI CLUJ
vidic arudi dhidi ya cluj ndani ya uefa champions league.
CECAFA NUSU FAINALI ZANZIBAR VS TANZANIA BARA
Subscribe to:
Posts (Atom)