Saturday, July 27, 2013

STARS TAYARI KUIKABIRI UGANDA LEO

Timu ya taifa ya tanzania tayari wako tayari kwa kuikabili uganda kwao kwenye mchezo wa marurudiano itakayo tao timu moja kwenda kushiriki michuano ya chan hapo mwakani afrika kusini .akizungumza na waandishi wa habari kocha wa timu hiyo kim polsen amesema kwamba timu yake leo ni kushambulia mwanzo mwisho ili kuhakikisha wanashinda mchezo huwo, kwani tayari stars iko nyuma kwa goli moja toka mchezo uliopita kwa hiyo lazima ishinde

HOOPER ATIMKIA NORWICH CITY



Mchezaji kutoka ireland ya kaskazini na club ya celtic martin hooper amesaini katika club ya norwich city kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu

MARTIN HUMMELS AFURAHIA WA KWENDA BRCELONA

beki mahiri wa borrusia dortmund na tumu ya taia ya ujerumani martin hummels amesema kwamba atafurahi sana kama kutakuwa na dili lolote la yy kwenda barcelona.

Friday, July 26, 2013

ZAHA AIOKOA MAN UNITED KATIKA KIPIGO , ASAWAZISHA DAKIKA ZA MAJERUHI

Winga aliye sajiliwa msimu huu akitokea crystal palace leo majira ya mchana aliiokoa timu yake ya sasa ya man united kwa kipigo kingine dhidi ya cerezo osaka ya japan katika ziara ya timu hiyo inayoendelea nchini humo.,kwani hadi dakikaya 89 osaka walikuwa wanaongiza 2-1 huku goli la kwanza la man united likiwekwa kimiani na shinji kagawa kabla ya kukosa pealt.

PEPE REINA AENDA KWA MKOPO NAPOLI

Kipa namba moja wa liverpool hatimaye ameenda kwa mkopo ndani ya klabu ya napoli ambapo amemfuata kocha wake wa zamani rafael benitez. hii imekuja baada ya liverpool kumsajili kipa kutoka sunderland.

HUMUD AINGIA KINYEMELA MAZOEZI SIMBA

Kiungo wa timu ya soka ya azam abdulharim humud amejipenyeza kinyemela katika mazoezi ya simba yanayo endelea huko mbaba beach jana jioni.mchezaji huyo yuko kwenye sakata la kutaka kwenda sauz kukipiga katika timu ya cosmos huku timu yake azam ikimletea kauzibe

GALLIANI: HONDA ATAKUWA ZAWADI KWETU

Mmiliki wa ac milan andrei galliani amesema kwamba usajili utakaofanywa na timu yake kumsainisha keusuke honda kutoka japani kwamba itakuwa ni zawadi kwao . Ac milani tangu kufunguliwa dirisha la usajili wamekuwa na target ya kumnyakuwa kiungo huyo anaekipiga katika club ya cska moscow ya urusi

Thursday, July 25, 2013

MOYES: MAKUBALIANO KATI YA BARCELONA NA MAN UNITED YANAENDELEA

kocha wa mashetani wekundu david moyes amesema kwamba maelewano kati yao na barcelona bado yanaendelea baada ya dili ya pili kukataliwa sasa wanampango wa kuongeza ili waweze kupata saini ya kiungo wa barcelona cesc faregas.vilevile moyes amesema kwamba van persie hajaumia sana na inawezekana akarudi wiki ijayo kwa mujibu wa docta baada ya mshambuliaji huyo kupata jeraha katika mechi iliopita ya kirafiki dhidi ya yokohama f'marinos.

GAMEIRO ASAII SEVILLA

Mshambuliaji wa psg kutoka ujerumani hatimaye amesaini katika clubu ya sevilla.hii imekuja baada ya timu yake aliotoka ujazana washambuliaji na kuishia kukaa bench. hii hasa baada ya edsin cavanni kuwasili hapo.

TAIFA STARS YAFIKA SALAMA UGANDA

Timu ya taifa ya tamzania kwa wachezaji wanaocheza ligi ya ndani wamefika salama jijini kampala tayari kwa mechi kati yao na wenyeji the cranes ya uganda.taifa stars lazima ishinde ili kujihakikishia nafasi ya kucheza michuano ya mataifa ya afrika kwa wachezaji wanaocheza wanaocheza ligi ya ndani.

Wednesday, July 24, 2013

OWINO KURUDI SIMBA BAADA YA KIWANGO CHAKE KUIMARIKA

Beki mahiri wa  URA ya uganda  joseph owino yupo karibuni kutua katia himaya ya wekundu wa msimbazi simba sports club baada ya kiwango chake kurudi kama zamani alipokuwa akiichezea simba. hii imekuja baada ya beki huyo mwishoni mwa wiki iliopita alionyesha cheche zake wakati timu yake alipokuja kucheza mechi za kimataifa za kirafiki zidi ya simba na yanga.

SUNDERLAND WAMKOSA PERUZZI

Katika kujiweka sawa na maanalizi ya msimu wa igi kuu ya england utaaoanza mwezi wa nane kocha wa sundaerland paolo di canio amemosa fullbaki peruzzi raia wa argentina baada ya mchezaji huyo kushindwa katika medical checkup.kwa taarifa zaidi zinasema kwamba beki huyo alipata majeraha wakati aiwa na timu yake ya sasa mwishoni mwea msimu uliopita wa igi.

SOLDADO AUZWA KWA ADA YA EURO MIILLION 30

Klubu ya soka ya valencia kutika hispania imebainisha rasmi ada ya uhamisho ya mshambuliaji wake nyota anayechezea timu ya taifa ya hispania robarto soldado kwa timu yeyote itayo muhitaji. hayo yamekuja baada ya timu mbalimbali umuhitaji ikiwemo totenham hotspurs.

SUNDAY MBA TAYARI KUCHEZA ULAYA

 Kiungo wa timu ya taifa ya nigeria sunday mba amesema kwamba muda tayari kwa yeye kwenda kuishi barani uaya. hayo alisema kupitia kwenye vyombo tofauti vya habari kwa mba yu tayari kwenda kucheza uaya endapo timu yeyote ikimuhitaji kwa sasa licha ya kwamba timu yake ya sasa inataka kumpeleka kwa mkopo inugu rangers.

ARSENAL YAPELEKA OFA YA EURO MILLION 40 LIVERPOOL KUMTWAA SUAREZ

Arsenal imeleka ofa nyingine liverpool ili kupata saini ya luis suarez. haya yamethibitishwa na mkurugenzi wa ufundi wa arsena kwamba wamepeleka ofa nyingine baada ile ya kwanza kukataliwa.

Tuesday, July 23, 2013

AZAM FC YATANGAZA NAFASI KWA WACHEZAJI CHIPUKIZI

Bodi ya yimu ya soka ya azam fc imeanza kupokea wabhezaji chipukizi kwa ajili ya majiribio ili kusajiliwa kwa miongoni mwa wachezaji wa timu ndogo ya azam fc
miongoni mwa wachezaji wakifanya mazoezi

HII NDIO RATIBA YA LIGI KUU BARA RAUNDI YA KWANZA



ENDELEA'

IJUE CV YA KOCHA MPYA WA BARCELONA- MORTINO

NA HII HAPA;

MOYES ANAANDA OFA YA TATU YA EURO 41 KWA BARCELONA KUMTWAA FABREGAS

Manchester united kupitia kwa  kocha wake david moyes imeandaa euro million 41 kama ofa ya tatu ili waweze kupata saini ya nyota nyota wa barcelona cesc fabregas.hii imekuja baada ya barcelna kukataa kabisa na kusema fabrigas hauzwi baada ya kupeleka ofa mara mbili .
Wakati huohuo wachezaji nyota wa barcelona andres iniesta na gerrad pique wamesema kwamba wanaimani fabrigas atabaki barcelona wa misimu ijayona hawezi kuondika kwakuwa miaka miwili nyuma alirudi kwao kutoka arsenal na manchester wanapoteza muda kumuwinda kiungo huyo

NAPOLI YAKUBALI ADA YA EURO 37 MILLION KUMTWAA HIGUAIN



Club ya napoli ya italia imeubaiana na real madrid kutoa itita cha pesa euro million 37 ili kumnyakuwa mshambuliaji gonzalo higuain. hayo yamthibitishwa na meneja wa napoli kwamba wamekubaliana na real madrid kutoa kiasi hicho cha fedha.

MANCHESTER YAPIGWA 3-2 NA YOKOHAMA F;MORINOS

Manchester unired tayari imeshapoteza michezo miwili kati ziara zake huko Asia.leo katika majira ya mchana ilcheza na yokohama f,marinos na kuchezea kichapo cha goli 3-2 ndani ya uwanja wa nissani. ilichukua dakika ya wanza tu wenyeji kuanza upata goi na baadae kinda anaetupia ila mechi jesse lingard alisawazisha na baadae waliongeza mawili kipindi cha pili kisha manutd walipata goli la pili kupitia kwa manriso.kwa hiyo hadi sasa moyes kashinda 1 katika mechi tatu na kufungwa 2.

MARTINEZ AZITOLEA NJE DORTMUND,NAPOLI

kiungo mshambuliaji wa fc porto mcolombia martinez ameelezea hali yake ya baadae clubuni hapo japo kuwa club kama borussia dortmund na napoli zikimwinda kupata saini ya mchezaji huyo. martinez amesema kwamba anafurahi sana na maisha clubuni hapo na haitaji kuondoka kwa sasa kuelekea  timu yeyote.

IBRAHIMOVIC: SIONI SABABU ZA KUONDOKA PSG

 Mshambuliaji wa psg ya ufaransa zlatan ibrahimoic amesema haoni sababu ya yeye kuondoka clubuni hapo licha ya watu kusema kwamba anaweza kuondoka utokana na nafasi yake kuwa finyu sababu ya kuwasili edinson cavanni  ndani ya club hiyo. abrahimovic amesema"sioni sababu yeyote ya mimi kuiacha psg kwani ninafuraha sana kwa ujio wa cavanni na natumaini tutatengeneza mfumo ambao utakuwa na mafanikio clubuni"


DORTMUND YAFUNGUA MILANGO KWA KAGAWA ENDAPO ANATAKAKURUDI

Borussia dortmund imefungua milango endapo nyota wao wa zamani shinji kagawa wa man united atataka kurudi katiaka msimu ujao.hayo yamesemwa na mkurugenzi wa timu hiyo watze kupitia katika vyombo mbalimbali vya habari jana.

MARTINO ACHUKUA MIKOBA YA VILANOVA BARCELONA

mabingwa wa la liga msimu uliopita hatimaye baada ya siku chache tito vilanova utangaza kujiuzulu kufundisha timu hiyo kutikana na matatizo ya kiafya jana usiku walipa saini ya kocha kutika america ya kusini martino.kocha huyo aliyepigiwa upatu na nyota ionel messi ili kuja kufundisha timu hiyo kutoka mitaa ya catalunya jijini barcelona.

Monday, July 22, 2013

YANGA YATOA SARE DHIDI YA URA YA UGANDA

Pongezi ziende kwa jerison tegete alieifungia timu yake bao la kusawazisha mmnamo dakika za lala kwa buriani.URA ndio ilokuwa ya kwanza kuliona lango la yanga katika dakika ya 20 kipindi cha kwanza na kuongeza bao la pili dakika ya 58, na baadae yanga walicharuka na kuandika bao la kwanza kupitia kwa hamis kiza 'diego' baada ya kupokea pasi nzuri toka kwa haruna nionziama ,baadae yanga walicharuka tena na kusawazisha bao katika dakika ya 91 kupitia kwa tegete.
Wachezaji wa URA ya uganda wakishangilia baada ya kufunga bao la kwanza.

MOYES KUTUPA KARATA YAKE NYINGINE KESHO DHIDI YA YOKOHAMA MARINOS

ka mara nyingine tena david moyes atatupa karata yake ya tatu akiwa na manchester united baada ya juzi kushinda ushindi wake wa kwanza kwa mabao matano huku akiweka historia ya kupoteza mchezo wake wa kwanza akiwa na man united dhidi ya singha all star.
shinji kagawa akiwa na patrice evra na danny welberck baada ya kuwapokea kwao japan.





HEYNCKES AJITOA KWENYE MBIO ZA KUWA KOCHA WA BARCELONA

kocha mwenye mafanikio akiwa na the bavalian beyarn munich jupp heynckes hatimaye amejiondoa katika mbio za barcelona kusaka kocha atakae chukua nafasi ya tito vilanova baada ya kujiuzulu kutokana na uginjwa wa saratani ya koo.kocha huyo amesema kwamba si vizuri kwenda barcelona kufundisha ilihali nimetoka munich hata msimu mmoja haujapita ukifikiria pia timu ambayo pepe guadiola alitokea hapo na baadaye kuja kuchukua mikoba yake beryan munich.heynckes ameiwezesha the bavalian kunyakua mataji matatu ndani ya msimu mmoja yakiwemo champions league na bundesliga.

RODGERS ANAAMINI SUAREZ ATABAKI LIVERPOOL

kocha wa liverpool branden rodgers anaamini kwamba strier wake matata myuruguay luis suarez atabaki katika kikosi hicho msimu ujaon.hao yamekuja baada ya mchezaji huyo kuindwa na club mbalimbali kama arsenal ambao ndio wanaongoza kwa dau la kumchukua mchezaji huyo.

NAPOLI WAKARIBIA KUMNASA RAUL ALBIOL KUTOKA REAL MADRID

Beki mahiri wa real madrid amebakiza siku chache kutua ndani ya club ya napoli ya itali baada timu yake kukubaliana na ada ya uhamisho na napoli hii imekuja baada ya beki chipukizi rafael varane kutishia namba ake ndani madrid.

REAL MADRID YAINYUKA AFC BOURNMOUTH 6-0

Katia kujianda na msimu mpya wa ligi real madri jana iliiadhibu afc bournmouth kwa idadi ya bao sita huku nyota wa timu hiyo cristiano ronaldo akitupia mara mbili moja likiwemo la free kick, mabao mengine yamefungwa ba dimaria,higuain,na khedira.

SCHWARZER AJIPA MOYO KUWA KIPA NAMBA 1 CHELSEA

Kipa mkongwe aliyesajiliwa na chelsea michel schwezer amesema ana imani ya kuwa golikipa namba moja katika siku za baadae msimu ujao licha ya kwamba atakuwa na upinzani mkubwa kutoa kwa golikipa mahiri na namba moja wa sasa peter cech.

Sunday, July 21, 2013

RODGERS AKILI NAPOLI KUMTAKA REINA

Kocharpool  mkuu wa livepool branden rodgers amethibitisha kwamba kipa wake nambari moja jose pepe reina anatakiwa na club ya napoli ya italia kwa ada ya paund laki 127000 kama ada ya uhamisho tu. lakini kwa upande wake kocha huyo ametia baraka katika uhamisho huo kwani amesema reina yuko free kuondoka kama akiwa tayar hii baada ya liverpool kumsainisha kipa tegemeowa sundeland

MANCHESTER UNITED YAONGEZA DAU KWA FABREGAS

Kwakuonyesha nia ya kumtwaa kiungo mahiri wa zamani wa arsenal na tiu y sasa ya barcelona man united wameongeza dau utoka paund million 25 hadi million 30 ili kuweza kumyakuwa kijana huyo mspanish

Saturday, July 20, 2013

PSG WAKAMILISHA DILI LA MBRAZIL MARQUINHOS

Beki kinda kutoka brazil na timu ya AS ROMA marquinho hatimaye amekamilsha uhamisho wake wa kuhamia psg ya ufaransa kwa ada ya euro million 35. kinda huyo mwenye miaka 19 alikuwa gumzo katika usajili baada ya kutakiwa na club kubwa kama vile man united, man city arsenal na nyinginezo.

MAN CITY WAKAMILISHA USAJILI WA JOVETIC

manchester city wamekamilisha dili la kumsajili mshambuliaji wa fiorentina stefan jovettic kwa ada ya euro million 22.meneja mpya wa timu hiyo manuel perreglin amesema kwamba amefirahi kwa usajili huo kwani jovetic alikuwa ana mipango naye tangu alivyokuwa meneja wa napoli ya hapohapo italia.

BLACN AONESHA MATUMAINI KWA COMBINATION YA CAVANNI NA IBRAHIMOVIC

Kocha mkuu wa psg laurant blanc amesema kwamba uweo wa washambuliaji wawili hatari edinson cavann i na zlatan ibrahimovic kutatengeneza cimbination hatari kwa mabeki wa kila timu na kueleza kuwa wanauezo mkubwa wa kufanya izuri katika ligi mbalimbali ikiwemo ligi ya mabingwa barani ulaya, na pia amesisitiza uwepo wa kiongo kinda kutoka italy marco verrati kwamba hatouzwa na anamipango naye katika siku za karibuni.

SIMBA KUWATIMUA MAPROFESIONAL WANNE

club ya soka ya simba imebainisha kwamba itawaacha wachezaji wake walio kwenye majaribio kutoka nchi za nje kutokana na viwango vyao si vyakutisha . akizungumza na waandisha wa habari kocha mkuu wa club hiyo Abdallah king kibaden amesema kwamba  wachezaji hao watatemwa na kuchukuliwa wengine kutoka burundi na rwanda wachezaji hao ni asuman buyanza,samwel ssinkoom,kun ames,na felix kapou na kuwachukua kaze gilbert 'Demongo' utoka vital'o ya burundi na faustine usengimana wa ryon sport ya rwanda.

OKWI NA OCHANG WAOMBA KURUDI SIMBA

Wachezaji wazamani  wa simba emmanuel okwi na patrick ochang hatimaye wameomba kurudi clabuni hapo baada ya kuchoshwa na maisha ya walikoenda.akizungumza na kwa simu na mmoja wa viongozi wa simba ochang amesemakwamba hajisikii vizuri katika maishayake jijini lubumbashi na kutaka kurudi bongo vileile okwi naye alisema hayo kupitia kwsakiongozimmoja wa clubu ya simba.

Friday, July 19, 2013

MANCHESTER CITY WAMNYAKUWA NEGREDO RASMI

Hatimaye man city wamekamilisha  dili la kumnyakuwa alvaro negredo kutoka sevilla na kumpa jezi namba 9.huu usajiri utaziba pengo la tevez aliye timukia juventus.

Thursday, July 18, 2013

MOURINHO AKUBALI CHELSEA KUPELEKA OFA MAN UTD

Kocha mkuu wa chelsea ya ngland amekubali kwamba timu yake imepeleka ofa ya paund million 10 kwa mancester united ili kumnyakua wyne rooney

DEMBA CISE AENDELEA KUCHOMOA KUITAMBULISHA KAMPUNI YA MIKOPO KATIKA CLUB KAMA WADHAMINI

Mshambuliaji msenegal amendelea kusisitiza kutovaa jezi ambayo ina nembo ya kampuni ya mikopo ya riba kifuani kwake pindi msimu mpya wa ligi utakapoanza.demba cise ni mfuasi wa dini ya kiislam amesema hyo baada kutambulika kuwa club yake ya newcaslte imeingia mkataba na kampuni hiyo kwani kwa dini ya kiislam ni haramu kutangaza,kuishadilia,na kuifanya riba.

FUATILIA TAKWIMU KATI YA ROONEY NA MATA

Hii itakujulisha nani zaid katika kulisakata kabumbu