Saturday, August 31, 2013

NORWICH CITY WAMNYAKUA ROSSEL MARTIN

Timu inayo shiriki ligi kuu ya england norwich city hatimaye imekamilisha usajili nyota kutoka scotland rossel martin na amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea cluhbu hiyo

LIVERPOOL YAKUBALI KUTOA EURO 17M KUMSAJILI SAKHO

Timu ya liverpool imekubala ada ya pauni million 17 kumsaini beki wa paris saint germain . kwa mujibu wa meneger wa liverpool amesema kwamba wamekubali kutoa ofa hiyo ili kumsajili beki huyo huku timu nyingine km ac milan zikimtolea macho beki huyo.

FRANCIS CHEKA WA TANZANIA AMDUNDA PHIL WILLIAM KUTOKA MAREKANI

Francis cheka jana alidhihirisha maneno yake baada ya kumpiga bondia kutoka marekani ambaye ni bingwa wa dunia kwa uzito wa wbu na kuchukua ubingwa huo kutoka kwa bondia huyo katika ukumbi wa dimond jublee jijini dar es salaa.

SHUHUDIA VIDEOKATI YA CHELSEA NA THE BAVALIAN JANA USIKU

BONYEZA HAPA

Friday, August 30, 2013

ATHLETIC BILBAO WAKATAA OFA YA MANCHESTER UNITED

Timu inayoshirii ligi kuu ya hispania leo mchana wamekataa ofa ya eoru 25.5m kwa manchester united kumsajili mchezaji wao ander herrera.

mwa mujibu wa mwenyekiti wa athletic bilbao amesema lengo letu kubwa ni kutengeneza pesa lakini sio kila kiasi cha pesa tu kwani wana hitaji hela kuendana na mchezaji alivyo kwa hiyo mtu kama herrera hana thamani hiyo kwani  ni ndogo nakwa mujibu wake amesema kwamba mchezaji huyo anaweza kuondoka bilbao kwenda the red devils kama wakitoa kiasi cha euro 36.5m  hadi 30.7 millioni na singivenevyo.

Manchester united walituma ofa hiyo jana usiku.

SCHALKE O4 YATANGAZA KUMSAJILI PRINCE BOATENG KUTOKA MILAN

Kiungo mshambuliaji raia wa ghana kelvin prince boateng hatimaye amesaini katika club ya schalke 04 ya uerumani  akitokea ac milan.

Kwa mujibu wa general maneger wa timu hiyo ya ujerumani horst holdt amesema kwamba leo hii mchezaji huyo amesaini na wanatarajia avae jezi namba 9 mgongoni ili kuongeza makali ya safu ya ushambuliaji ndabi ya timu hiyo.

MATRI WA JUVE ATUA AC MILAN

Mshambuliaji hatari mwenye uchu wa mabao alexandra matri hatimaye ameshusha wino ndani ya clubu ya ac milan hapohapo italia. mshambuliaji huyo ameamua kuondoka juventas baada ya kuona nafasi yake finyu ya kucheza baada ya kuwasili mshambuliaji alietokea man city carlos tevez aliye saini mwaka huu kwa kiasiambacho juve ni kidogo ukilinganisha kiasi ambacho kimepata baada ya kumuuza matri ac milan kwai inasadikika ni zaidi ya euro millioni 30.

FELLAINI AOMBA KUONDOKA EVERTON

Kiungo mahiri wa kibelgiji na timu ya everton ya uingereza hatimaye ameomba kuondoka baada ya manchester united kuongeza dau ya kuwachukua fellaiini na bekiwa kushoto wa timu hiyo leington baines kwa ada ya uhamisho wa pauni millioni 36 kwa wachezaji wote.
picha ya juu ni marouane felaini akiwa na kocha wake wa zamani moyes  ambaye kwa sasa yuko man united  na fellaini anapotaka kwenda na picha ya chini ni leington baines.

UJIO WA WILLIAN NA ETOO CHELSEA UNAWEZA KULETA UFANISI?






















ujio wa nyota wa kibra kibrazil na samwel etoo ambaye ni mzoefu katika soka kunaweza kuleta ufanisi katika kikosi hicho? hili ni swali ambalo kila mtu anajiuliza kwani sawa ni wachezaji wa zuri lakini hawana idea yeypte na ligi kuu ya uingereza.

Hii kwa kuwa ligi hii ni ngumu kwani wachezaji wangapi wamekuja pale lakini hakuna walichokifanya kama vile shevchenco aliyetoka  ac milan lakini hakuna alichokifanya.

Vile vile kwa wachezaji hawa wameng'ara katika mataifa ambayo ligi yake si ngumu sana ukilinganisha na uingereza ,ila chakuangalia ni kwamba etoo na willian ni wachezaji wazuri na huwa nyota wakati wakikutana na timu za uingereza nadhani watang;ara  na kuipeleka timuu hiyo katika kiwango kizuri.
Kwa upande mwingine etoo na willian wanaukaribu kwa kipindi cha mwaka kwani wanatoka clubu mija.
 samwel etoo akiioyesha jazi ya chelsea  mbele ya waandishi wa habari.

Wednesday, August 28, 2013

BAA YA SAMAKI SAMAKI MBEZI BEACH YATEKETEA KWA MOTO

Baa maarufu jijini dar es salaam iliyoko mbezi beach makonde leo asubuhi imeteketea kwa moto kutokana na cheche za moto ambazo zimesababishwa na tinga tinga linalo panua barabara ya bagamoyo ambayo inaendelea kwa matengenezo katika kubomoa sehemu ya miliki ya barabara hiyo iliyo karibuni kuisha.

STEPHEN KESHI MATATANI FIFA

Kocha wa timu ya taifa ya nigeria sphen keshi  yupo matatani katika shirikisho la soka fifa baada ya kuonyesha ubaguzi kwa kocha wa malawi Tom saintfiel.

Kwa mujibu wa katiu mkuu wa shirikisho la soka la malawi bwana suzgo nyirenda amesema kwamba kocha huyo wa nigeria ametoa maneno ya ubaguzi na kashfa kwa kocha wa malawi amboyo hayatakiwi kwa mujibu wa fifa ni adhabu na wala hairuhusiwi kumbaguwa mtu wa aina yeyote.

Hii imekuja baada ya timu hizo mbili kujiandaa na mchezo wao wa kuuzu kombe la duni atakao pigwa hivi karibuni huko nigeria kaaka jiji la kalaba ambalo limelalamikiwa na shirikisho la malawi kuwa halina usalama
kwani lina machafuko ya mapigano kila mara.

KINDA ANGELO HENRIQUEZ WA MAN UNITED AENDA REAL ZARAGOZA KWA MKOPO

Kinda wa manchester united ambaye ni mshambuliaji wa kikosi  B angelo henriquez amepelekwa kwa mkopo katika clubu ya real zaragoza nchini hispania. Kinda huyo raia wa chile ambaye ameshawahi kuifungia timu ya wakubwa katika mechi za kujiandaa na msimu mpya tayari yupo hisania na atakaa huko kwa mwaka mmoja.

TOTTENHAM YAWEKA DAU LA PAUNI 8M KWA CHRISTIAN ERIKSEN

Tottenham ya uingereza imetenga kitita cha pauni million 8 kwa ajili ya kumsaini winga na nyota wa ajax amsterdam ya uholanzi ili kuziba pengo la bale endapo akiondoka.

Taarifa hii ni ya leo asubuhi ambayo tottenham wanajitahidi kusaka mmbadala wa bale, lakini hata hivyo ajax wanataka kitita cha pauni million 15 ili kumwachia nyota huyo wa timu ya taifa ya denmark.

MWANA MAMA MTANZANIA AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA DUBAI

http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/08/dubai-300x200.jpg 
Mwana mama aliyetambulka kwamba ni mtanz ania amekamatwa katika uwanja wa ndege wa dubai akija tanzania na madawa ya kulevya aina ya cocaine.Mwanamke huyo alipo hojiwa na polisi nchini hapo alisema hakujua kama amebeba vitu hivyo kwani yeye almeagizwa na mume wa rafiki yake anayeishi brazil.Hadi sasa wanamke huyo ameshikiliwa na mapolisi kwa uchunguzi zaidi.

KIPA WA ZAMANI WA BRAZIL AFARIKI DUNIA

Kipa wa zamani wa santos, corithians na timu ya taifa ya brazil Gylmar dos santos amefariki dunia jana huko sao paolo brazil kwa uginjwa wa kiharusi ambao ulikuwa unamsumbuw kwa muda mrefu sasa.Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya taifa ya brazili aliye wahi kuichezea katika mashindano ya kombe ;la dunia katika miaka ya 1958,1962.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi ameen.

ARSENAL YAWEKA PAUNI MILLIN 10 KWA CABAYE

Kocha wa arsenal arsene wenger ametenga kitita cha pauni  million 10 ili kumngo'oa juan cabaye kutoka newcastle united. Lakini habari kutoka newcastle united zinasema kwamba cabaye anauzwa 20m na sio kiwango ambacho wenger anataka kuweka.

Kwa mujibu wa kocha wa timu hiyo alan pardew amesema kwamba wapo tayari kumuuza endapo arsenal watamuhitaji na tayari ameshabainisha kwamba tayari ameshatuma ofa kwa wigan ili amchukue kiungo wa timu hiyo Mccathy  kama mmbadal wa cabaye endapo ataenda arsenal.

LIGI KUU BARA KUENDELEA TENA LEO KWA SIMBA USO KWA USO NA OLJORO

Ligi kuu bara kuendelea tena leo kwa viwanja saba huku simba wakikutana na maafande wa jkt oljoro katika dimba la sheikh amri abeid arusha. ratiba kamili ni:

Mtibwa suger  vs  Kagera suger -    manungu stadium.
Rhino rangers  vs  Azam fc-   alli hassani mwinyi stadium.
Jkt ruvu          vs  Tanzania prisons -  mabatini stadium
Mbeya city   vs Ruvushooting-    sokoine stadium
Mgambo jkt  vs Ashant united-   mkwakwani stadium
Jkt oljoro   vs Simba sport club-   sh. amri abeid stadium
Yanga   vs coastal union- national stadium

HATIMAYE 3 PILLAS WALIOKWAMA KATIKA HOTEL KWA KUDAIWA KIASI CHA PESA ZAIDI YA 20M YABAINIKA

Timu ya soka iliyojitambulisha kwa jina la 3pillars ambayo ilkuja chini kwa mechi za kirafiki kucheza na timu za hapa nyumbani ambayo imejitambulisha kwamba imefuzu kucheza ligi kuu ya nigeria ambayo ipo karibuni kuana jana hatimaye imejulikana kwamba hiyo timu haipo katika hatua hizo za ligi na kwani ligi imeshaanza muda mrefu na bado kipindi kidogo imalizike.

Haya yamebainika jana baada ya chombokimoja cha habari chini kuongea  mojakwamoja na mwandishi mzoefu wa masuala ya soka kutoka nigeria kuhusu timu hiyo.

Amesema kwamba timu ambayo inajulikana katika ranki au daraja hilo na kanu pillars na sio 3pillars na hakuna timu anayojulikana kwa jina hilo labda katika ngazi za chini kabisa na hata jivyo hana uhakika kama timu hiyo ipo.

Haya yote yamekuja baada ya kuepo zengwe la timu hiyo kudaiwa kuzuiwa kwa kutolipa dena la shilingi million 20 na zaidi katika hotel moja hapa nchini na kutoweza kuondoka hadi hivi sasa.

Swala la kujiuliza je inakuwaje timu inatoka nigeria hawana uwezo wa kulipa hizo fedhana ilihali ligi inaendelea? na vilevile kwa clubu zetu hapa nchini ni lazoma kuwa na uhakika kwani kuna uwezekano mkubwa sana kwamba iyo timu imejikota tu ambao ni vijana wa mitaani ambao hawana timu na kujiita kwa timu yeyote ili wapate fedha tu ukufikiria kwama kuna wanigeria kibao hawana timu na wapo nchini wakizagaa tu.

SAKATA LA MRISHO NGASSA LAIBUKA TENA

Tatizo la usajili bdliaikumba inhi yetu nasujui litaisha lini...!!.
Sakata la mchezaji machachari mrisho ngassa limeibuka tena hii ni baada ya jana yanga kupinga mchezaji huyo kufungiwa mechi sita na fani ya shilingi millioni 45 kuilipa simba baada ya kusaini yanga na huku akiwa na mkatabaa simba.

Kwa mujibu wa simba wanasema ngassa ni mchezaji wao na ndio maana wameliorodhesha jina lake kwenye list ya wachezaji lakini muda huohuo ngassa amesauna yanga. kutokana na swalahili simba wakakata rufaa mchezaji huyo asimamishwe kuichwzea yanga kwani tayari simba wanamkataba nae.

Lakini kuna vitu vingi  ambavyo havieleweki kikawaida kwani ngassa kipindi anatoka azam alienda simba kwa mkopo lakini mkopo wenyewe si wakaida unaojulikana kwani simba waliilipa azam millioni 25 il kummiliki ngassa ambae alibakisha miezi tisa kumaliza mkataba wake ndani ya azam.

Na kwa mujibu wa TFF mchezaji haruhusiwi kuingia mkataba na clubu yeyote na hawataupokea mkataba huwo mpaka kipindi cha usajili kifike. je swali la kujiuliza ni kiongizi gana wa TFF aliye upitisha na kuupokea mkataba huo wa simba dhidi ya ngassa na kuithibitishia simba kwamba ngassa ni mchezaji wao halali?
na simba kupata kifua cha kudai kwamba ngassa  wana mkataba nae?

Kutokana na hilo swala ni vyema kwanza ajulikane nani aliye upitisha mkataba wa simba kumiliki ngassa kwani yeye ndiye aliesababisha yote haya na kufikia ngassa kufungiwa na wenyewe TFF na inamaana hawajui katiba yao inavyosema? katika kipengele cha usajili?, kwa hiyo, yanga ,simba wote hawana makosa na mweye makosa ni huyu jamaa asiye jua soka linaendeshwaje.

MICHAEL ESSIEN,PRINCE BOATENG NA ANDRE AYEW WARUDISHWA TIMU YA TAIFA KUIKABILI ZAMBIA

Kiungona captain wa zamani wa tumu ya taifa ya Ghana michael essien hatimaye amerudishwa timu ya taifa ya ghana tayari kwa kuikabili zambia katika mchezo wa kufuzu kombe la dunia mwakani.

Pamoja na essien wengine ni kiungo aliyeichezea tiu hiyo katika kombe la dunia lililopita nchini afrika kusini prince boateng ambaye alishawahi kutangaza kustaafu kuchezea timu hiyokipindi cha kombe la mataifa ya afrika yaliyopita ;

Mwingine ni andre dede ayew amaye aliachwa tangu mwaka jana kaika kombe la mataifa ya afrika.Kwa mujibu wa kocha wa timu hiyo mzawa kwesi Appiah amesema kwanba amewarudisha wachezaji hao wakongwe ki mashindano ili kuongeza ufanisi katika kikosi hicho.

Vilevile kocha huyo maewaacha wachezaji sule muntari na jordan ayew katika kikosi hicho.

Tuesday, August 27, 2013

SERGIO BUSQUET AONGEZA MKATABA MPYA KUICHEZEA BARCELONA

Kiungo mahiri wa timu yataifa ya hispania na clubu ya barcelona sergio busquet leo mchana amesaini mkataba mpya utakaomfanya akae clubuni hapo mpaka mwaka 2018.

Busquet amesaini mkataba huo baada ya mkataba wake mpya kuwa karibuni kuisha na atalipwa zaidi ya pauni laki 1600000  kwa wiki ndani ya barcelona.

PSG WATENGA EURO 40M KUMNASA PEDRO WA BARCA

Timu yenye jeuri ya pesa kutoka ufaransa paris saint germain psg wamepeleka ofa ya euro million 40 kumnasa mshambuliaji hatari wa barcelona ya hispania pedro rodriguez. ili kuimarisha safu yao ya ushambuliaji wakisaidiana na zlatan na cavanni.

TOTTENHAM WAKUBALI DILI LA MADRID KUMNYAUWA BALE

Timu ya soka ya totenham imethibitisha kwamba real madrid wamekubali na kusema kwa,mba wapotayari kumwachia nyota huyo kwa paun million 100 ili kuvunja rekodi ya dunia.

Hayo yamebainishwa jana bada ya kuulizwa na waandishi wa habari na mkurugenzi mkuu wa timu hiyo katika press conference kuhusu maswala ya usajili katoka timu hiyo.

Hata hivyo real madrid hawakupoteza kitu kwani mchezaji kama bale ni mchezaji ambaye anaweza kucheza nafasi nyingi uwanjani  na kusababisha matokeo mazuri ndani ya mechi husika

MOURINHO: NAMWACHIA ROONEY ACHAGUE KUBAKI AU LAA- SITUMI OFA NYINGINE

Kocha wa chelsea jose mourinho ameonesha moyo wa kukata tamaa na usajili wa nyota wa manchester united wyne rooney.

Hayo yameibuka baada ya kukataliwa ofa yao ya tatu ya pauni million 40 ambayo angeamini kwamba wangelimng'oa nyota huyo.

Sunday, August 25, 2013

PICHA TOFAUTI KATIKA MECHI YA JANA ASHANTI NA YANGA






wawkikosi cha yanga katika picha ya pamoja kabla ya mchezo.

MORTINO : USAJILI WA BALE KWENDA REAL MADRID NI KUTOIHESHIMU FEDHA

Kocha wa barcelona mortino jamesema kwamba usajili wa gareth bale kuhusishwa kwenda real madrid ni kuidhalilisha tamani ya fedha.

Hayo aliyazungumza jana kwenye press conference kwamba hii inaonesha ni jinsi gani fedha inadhalilishwa na haina thamani kwani kiasi cha euro millioni 100 ni kikubwa sana kwa mchezaji mmoja na kuvunja rekodi ya dunia ya usajili. lakini alisema gareth bale ni mchezaji mkubwa na kila timu inamuhitaji kufanya nae kazi.

Kwa upande mwingine aliongeza kusema kwamba si jambo la kushangaza kwa real madrd kufanya usajili kwa kuvunja rekodi ya dunia kwani wameshafanya hivyo baada ya kumsajili star wao wa sasa cristiano ronaldo kwa euro millioni 94 mwaka 2009 aitokea manchester united.

Kwa mujibu wa wakazi wa jiji la madrid kunaataarifa kwamba bale tayari aneshaingia jijini hapo ili kukamilisha dili hilo kwa kisaini na alionekana kwenye gari karibu kabisa na ronaldo.
gareth bale ndani ya jiji la madrid ndani ya gari akiwa katika pozi moja  na cr7

Saturday, August 24, 2013

MATOKEO YA LIGI KUU ENGLAND KWA MECHI ZILIZO PITA

Arsenal3-1Fulham,Newcastle 0-0 West Ham ,Southampton 1-1 Sunderland, Stoke 2-1 Palace Hull 1-0, Norwich, Everron 0-0 West Brom.
Expand

TAMBWE NA KAZE TAYARI WATHIBTISHWA RASMI NA VITAL'O KUWA NI WWACHEZAJI WA SIMBA


Kwa habari zilizo patikana hivi punde kutoka burundi kwa mba wachezaji wawili kutoka chini humo hamis tambe na kaze tayari wamethibitishwa kwamba ni wachezaji halali wa simba na ni mali yao.

Taarifa hiyo kutoka clubu za wachezaji hao walipo tokea ambayo ni vital'o.

KATIKA KUJIANDAA NA KUMTAMBULISHA MCHEZAJI MPYA REAL MADRID WAATENGENEZA JUKWAA LA KUTAMBULISHA MCHEZAJI HUYO

Jukwaa la kutambulisha mchezaji mpya ndani ya santiago bernabeu. je ni nani huyo? tushuhudie kwani tayari madrid wameshaanza kuuza jezi ya bale yenye namba 11 mgongon., je ni yeye au.

USAJILI SIMBA UTATA MTUPU

Wakati ligi kuu ya bara inatarajiwa kuanza jioni ya leo ya rarehe 24 augost ,club ya simba inatatizo kubwa la usajili kutokana na wachezaji waliowasajili kwa ajili ya msimu huu.

Kuna baadhi ya wachezaji kutoka nje ya nchi kama vile hashim tambwe na kize, kutoka burundi  badaja pata  mpaka sasa hawajapata ict kama kibali cha kufanyia kazi ndani ya tanzania na mwingine ni mshambulaji mrefu mombeki naye ana ugogoro kutoka timu ya pamba kulalamika kuhusiana na usajili huo wa simba walioufanya.

Wakati huohuo simba tayari ipo tabora kwa ajii ya mchezo wao wa ufunguzi dhidi ya Rhino ya mjini hapo, na kwa mujibu wa msemaji wa timu hiyo kwamba wachezaji wote wako fiti na wapo tayari kwa mchezo huo na kuwahidi kuondoka na point tatu.
 mshambuliaji mombeki akishangilia moja ya goli alilokuwa ameshawahi kuwafungia simba katika mechi za majaribio kujiandaa na ligi kuu.

Friday, August 23, 2013

RATIBA YA LIGI KUU UINGEREZAMPAKA TAREHE 31 AUGOST HII HAPA


        note: michezo hiyo inaonyesha kwa masaa ya afrika kusini, kwa bongo ongeza lisaa limoja mbele.
Saturday 24 August 2013
FulhamvArsenalCraven Cottage13:45Preview
EvertonvWest BromGoodison Park16:00
SouthamptonvSunderlandSt. Mary's Stadium16:00
HullvNorwichThe KC Stadium16:00
NewcastlevWest HamSt James' Park16:00
StokevCrystal PalaceBritannia Stadium16:00
Aston VillavLiverpoolVilla Park18:30
Sunday 25 August 2013
TottenhamvSwanseaWhite Hart Lane17:00
CardiffvMan CityCardiff City Stadium17:00
Monday 26 August 2013
Man UtdvChelseaOld Trafford21:00
Saturday 31 August 2013
Man CityvHullEtihad Stadium13:45
NorwichvSouthamptonCarrow Road16:00
NewcastlevFulhamSt James' Park16:00
CardiffvEvertonCardiff City Stadium16:00
West HamvStokeBoleyn Ground16:00
Crystal PalacevSunderlandSelhurst Park18:30


Upcoming Months:

SINCLAIR AENDA WEST BROM KWA MKOPO

Winga machachari wa man city scott sinclair amesaini west brom albion kwa mopo wa muda mrefu. na kutambulishwa rasmi jana.

RATIBA YA KESHO LIGI KUU BARA


SIMBA VITANIKESHO KWENYE MECHI YA UFUNGUZI DHIDI YA RHINO YA TABORA

Katika kuanza na kinyang'anyilo cha kugombania kombe laligi kuu bara ambayo itaanza kwa kukipiga na rhino fc ya tabora ndai ya uwanja wa alasani mwinyi ambao punde umefanyiwa uakarabati.

kwa mujibu wa msemaji wa simba,amesema timu ipo shinyanga kwa sasa na ipo tayari kwa mchezo huwo baada ya juzi jumaatano kushinda bao moja bila katika mechi ya kirafiki mkoani singida

Kila la kheri simba katika mchezo huo..

KAPOMBE ATAMBULISHWA RASMI AS CANNES

Kijana mahiri mwenye kujituma akiwa uwanjani na hasa timu yake ikifungwa shomari kapombe hatimaye jana jioni ametambulisha rasmi na timu yake mpya as cannes ya ufaransa.

Timu hiyo ambayoinashiriki ligi daraja la nne nchini humo imemsajili mchezaji huyo anayetokea simba kwa muda wa miaka mimwili.
Kitu chakufanya kwa watanzania ni kumuombea mafaniio katika safari yake hiyo kwani club hiyo ipo kifedha zaidi endapo mchezaji akitakiwa na timu kubwa kwani timu hiyo ndio iliyomtoa gwiji la soka la ufaransa zinedine zidane na wengineo.

Thursday, August 22, 2013

VIDEO: CHELSEA VS ASTON VILLA JANA USIKU 2-1

BONYEZA KWENYE LINK HII KUANGALIA VIDEO

ANGALIA VIDEO HIGHLIGHTS ARSENAL VS FENERBAHCE

BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO

JOHAN ELMANDA ATUA NORWICH KWA MKOPO

Norwch city ya england imemchukua mshambuliaji kutoka garatasaray ya uturuki na timu ya taifa ya sweeden johan elmanda kw amkopo.

Mshambuliaji huyo aliyechezea bolton  ya hapo uingereza miaka miwili iliyopita amejiunga na timu hiyo ili kuongeza ukali katika safu ya ushambuliaji.

TOTTENHAM WAKUBALIANA NA WILLIAN

Kungo mshambuliaji kutoka brazil aliye watesa chelsea mwaka jana katika ligi ya mabingwa ulaya willian anatarajiwa muda wowote kusaini tottenham ya uingereza baada ya kukubaliana na mchezaji huyo anaechezea anzi ya urrus.
Tottenham itakuwa ya kwanza kwa usajili mwaka huu baada ya kusajili wachezaji wengi na wanaojulikana kama paulinho,couple, n soldadona kama ikimsajili willian itafikisha paundi million 90 kwani willian anahitaji 30m. na tayari wameshatumia 60m.
Hata hivyo timu hiyo itarudisha fedha hzo kupita kwa gareth bale anaetakiwa na muda wowote atatua ndani ya santiago bernabeu kwa  paundi million 90.

CISSOKO AENDA LIVERPOOL KWA MKOPO

Hatimaye liverpool washamsainisha cissoko kwa mkopo ili kuja kutoa msaada wake kwenye timu hiyo akitokea valencia ya hispnia. beki huyo kwa wana liverpool wanaamini ataimarisha safu yaoya ulinzi ilio anza kuchoka. iili kujiweka vizuri na mashindano tofauti yanayo wakabili.

MESSI NJE WIKI MBILI BAADA YA KUUMIA DHIDIN YA ATHLETICO MADRID

Mshambuliaji hatari wa barcelona lione messi jana alipata majeraha baada ya kuumia dhidi ya athletico madrid. hii ilikuja baada ya kugongana na beki wakati wa kugombania mpira na baadae messi alikaachini na kuomba atoke baada ya majeraha makali aliyo yapata.
Inasadikiwa messi atakaa nje zaidi ya wiki mbili.

iIVANOVIC AIPA USHINDI CHELSEA DHIDI YA ASTON VILLA

Ilichukua dakika ya 6 tu mchezaji wa aston villa luna kujifunga baada ya presha kubwa kutoka kwa washambuliaji wa chelsea waiongozwa na demba ba.
 baada ndani ya dakika tano mshambuliaji wa aston villa shristian benteke alisawazisha na kufikisha idadi yamagoli matatu hadi sasa
.
baada ya kwanda mapumziko chelsea wairudi kwa kasiya ajabu na mnamo dakika ya 73 beki mwenye uchu wa kufunga blanislav ivanovic aliiandikia chelsea bao la pili.

 na hadi mwisho chelsea kuibuka na ushindi wa bao mbili kwa moja.

ARSENAL YAINYUKA 3 FERNABACE LIGI YA MABINGWA PLAY OFF

Baada ya mashabiki kumtaka wenger asajili kutokana na kipigo walichopata kwenye mchezo wakwanza wa ligi kuu ya england jana usiku waliwashushia kipigo waturuki baada ya kuwapiga mabao matatu kwa moja katika mchezo wa play off wa mabingwa ulaya kugombania nafasi ya kupanwa kwenye makundi

Baola kwanza lilipatikana kupitia kwa bki wa kushoto keran gobbs na baadaye aoron ramsey, na kisha olivier giroud kumalizia msumali wa mwisho.

Sunday, August 18, 2013

FIESTA MWAKA 2013 TWENZETU KIGOMA JINSI ILIVYOKUWA

Washabiki walivyofirika kwenye uwanja wa lake tanganyika
cristian bella ndani ya fiesta
msanii wa hip hop stamina akiwapagawisha mashabiki wake
cassim mganga ndani ya nyumba
recho na muonekano wake wa paja moja daaaaah
washabiki walioripuka na fiesta
profesa jay akiwajibika ndani ya lake tanganyika
shilole na madansa wake hatari tupu.